Nabiy (??? ???? ???? ???? ????) aliswali rakaa mbili za Swalaah ya Adhuhuri na kisha rakaa mbili za Swalaah ya Alasiri na mbele yake kulikuwa na mkuki mfupi kama sutrah (kizuizi). Ibn ‘Abbaas alitawadha na akaosha uso wake kisha Alijaza maji kiganjani, akasukutua kinywa na akasafisha pua kwa kuingiza maji puani na kuyapenga. Kisha alichukua maji